Young African SC Fixtures NBCPL 2021/2022, Ratiba ya Yanga Mzunguko wa Pili NBC Premier League, Yanga, TFF, TPLB
Ifuatayo ni Ratiba ya mechi za Yanga sc mzunguko wa pili wa ligi kuu bara Tanzania NBC Premier League ya mwaka 2021/2022, mechi zote za Yanga za mzunguko wa pili 2021/2022
The following is the schedule of Yanga sc matches second round of mainland Tanzania NBC Premier League 2021/2022, all Yanga second-round matches 2021/2022
Young African sc mostly known as Yanga sc is a football club based in Jangwani, Dar es salaam, Tanzania.
Yanga whose nickname is "Mwananchi" which means a citizen, was founded in 1935.
Yanga play their home games at the Benjamin Mkapa Studium
➢Young African SC NBCPL Fixtures 2021/2022
15.05.2022
16:00 Dodoma Jiji vs Yanga
21.05.2022
19:00 Yanga vs Mbeya Kwanza
24.05.2022
16:00 Biashara United vs Yanga
15.06.2022
19:00 Yanga Vs Coastal Union
22.06.2022
17:00 Yanga Vs Polisi Tanzania
25.06.2022
16:00 Mbeya City Vs Yanga
29.06.2022
19:00 Yanga vs Mtibwa Sugar
Read also: Ratiba ya Simba NBC Premier league 2021_22
➢Msimamo Ligi Kuu Tanzania Bara | NBCPL Standings
Baada ya Matokeo ya jana kati ya Mtibwa Sugar 0-2 dhidi ya Yanga, mchezo ambao ulikua unahitimisha round ya mwisho(15) ya mzunguko wa kwanza
Huu ndo Msimamo wa ligi kwa sasa, Yanga ikiwa nafasi ya kwanza kwa point 8 zaidi ya Simba ambao ndo wanafuatia wakiwa nafasi ya pili na nafasi ya tatu ikishikwa na Azam fc
Mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Tanzania bara unakwenda kuanza 25.02.2022 ambapo iatakua inacheza timu ya Geita Gold dhidi ya Namungo
Read: Ratiba Mzunguko wa pili wa NBC Premier League
Social Plugin