NBC Premier League 2021/2022, Round 16 results, Standings, Young Africans sc
Matokeo yalikua Geita Gold 1-1 Namungo
Mchezo wao ulichezwa katika uwanja wa Nyankumbu Stadium, Geita 1600hrs, Geita fc walikua nyumbani
➤Yanga Vs Kagera Sugar 27.02.2022 Results
Tarehe 27.02.2022 ilichezwa mechi kati ya yanga sc dhidi ya Kagera Sugar katika uwanja wa Benjamin Mkapa Stadium majira 1900hrs
Yanga walikua nyumbani wakiwakaribisha Kagera Sugar
Matokeo yalikua ni Yanga 3-0 Kagera sugar
Magoli yakifungwa na Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele, akifunga mabao mawili, na moja likifungwa na Saidoo
Hii ilikua mechi yao ya marudiano ya mzunguko wa pili wa ligi ya NBC Premier League
Mechi yao ya kwanza ambayo walicheza huko Kagera, matokeo yalikua ni Kagera Sugar 0-1 Yanga
Matokeo ya mechi zingine ni kama ifuatavyo:-
Mbeya Kwanza 1-2 Mtibwa fc (Sokoine Stadium, Mbeya)
KMC 3-0 Polisi Tanzania (Azam Complex, Dar es Salaam)
Ruvu Shooting 1-1 Dodoma Jiji (Mabatini Stadium, Pwani)
Tanzania Prison 1-1 Mbeya city (Sokoine Stadium, Mbeya)
Azam 0-0 Coastal Union (Azam Complex, Dar es Salaam)
Social Plugin