NBC Premier League results, Tanzania Premier League Board, Simba sc, Biashara United, Simba vs Biashara United, Matokeo kati ya Simba vs Biashara United leo, Simba vs Biashara United today's results
Simba wako nyumbani, mechi yao ya leo, ni kiporo cha roundi ya 16 ambapo hawakuwepo nchini baada ya kwenda kushiriki michezo yao miwili(2) ya CAF Confederation Cup dhidi ya USGN na RS Berkane
Hata hivyo matokeo ya mechi hizo, walitoka sare na USGN kwa kufungana 1-1, lakini wakapoteza kwa RS Berkane kwa kufungwa 2-0
Leo Simba wameweza kuifunga Biashara United kwa magoli 3-0
Simba 3-0 Biashara United
Magoli yamefungwa na Sakho '9', Mzamiru '14', na Chama '18'
Read this: Mzunguko wa Pili wa NBC Premier league, NBCPL fixture
Social Plugin