Ad Code

Matokeo ya Leo March 6, 2022 Geita Gold vs Yanga, NBCPL Today Results

 Young Africans SC vs Geita Gold FC, NBC Premier league 2021_22, Tanzania Premier League Board, Geita Gold vs Yanga Results, Matokeo ya Geita Gold vs Yanga Leo 6 March 2022, NBCPL Round 17

Leo tarehe 6 March 2022 saa 16:00 Yanga ilikua ugenini kuikabiri timu ya Geita Gold katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Mechi ya leo ni marudiano ya mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Tanzania Bara NBC Premier League.

Mechi ya kwanza ilichezwa tarehe 2 October 2021 ambapo katika mchezo huo Yanga iliondoka na point 3 kwa ushindi wa goli 1-0. Yanga ilikua nyumbani uwanja wa Benjamin Mkapa Stadium.

➤Kikosi Cha Yanga kilichocheza leo dhidi ya Geita Gold,  Young Africans Line up

Young Africans Line up against Geita Gold FC

Hiki ndo kikosi Yanga kilichoanza dhidi ya Geita Gold leo.

Wachezaji wengine wa Yanga ambao hawakucheza leo, ni pamoja na Aucho, Djuma, Farid, Saido, Ushindi, Bryson, Jesus Moloko, Yacouba, A. Shaibu, pamoja na Ngushi. Hawa wote ni majeruhi.

➤Kikosi cha Geita Gold kilichocheza leo dhidi ya Young Africans, Geita Gold Line up

Geita Gold FC Line up against Young Africans

Geita Gold vs Yanga Results today 6 March 2022, Matokeo

Young Africans and Geita Gold players competing for the ball


Na haya ndo matokeo ya mchezo wa leo 👇

Geita Gold 0-1 yanga (Mayele, Sekunde ya '30')

Bao pekee la Yanga limefungwa na mshambuliaji Mayele sekunde ya '30' ya Mchezo

Kwa matokeo ya leo, yanamfanya Yanga kuendelea kuongoza ligi kuu ya Tanzania bara NBC Premier League kwa Point 45 huku akiwa na michezo 17, akifutiwa na Simba SC ambao wana Point 34 ambao wao wanamicheo 16.

Read also:




Ad Code